
Watoto na Vitabu Jumamosi 10/08/2019 hapa Soma Mkahawani walikitafsiri kitabu kinachoitwa ”Fati and The Old Man” kwa kiswahili na kuandika hadithi kwa ufupi kutoka kwenye kitabu hicho.
This Saturday on Watoto na Vitabu program @ Soma Book Café translated the book ‘Fati and The Old Man’ into Swahili and wrote a short story from the book.