Wanawake: Historia Yetu Fahari Yetu

Kikao cha mandalizi ya kuandaa mkutano wa kuchachua Mtandao wa Wanawake Historia Yetu Fahari Yetu na Jukwaa la Ukusanyaji, Simulizi, Uhifadhi na Uchapishaji wa Mchango wa Wanawake katika Historia na Utamaduni kwa njia zenye mvuto kwa wengi. Mahali ni Mkahawa wa Vitabu Soma na wajumbe  na washiriki ni Readership for Learning and Development –Soma; TGNP Mtandao na Women fund Tanzania (WFT)

Share the Post:

Related Posts

Vavagaa

Therefore, Vavagaa packages feminist knowledge and information with freshness and diversity of content and mobilizes large audiences, audience feedback, and

Read More