Soma na Wanafunzi wa Dar es Salaam International Academy Mitaani

Kwa nara nyingine, Soma ikishirikiana na Dar es Salaam International Academy imewakutanisha wanafunzi wa shule hiyo na wenzao wanasoma kwenye shule za umma kitongojini “Michungwani” Mtaa wa Darajani, Kata ya Mikocheni, katika shughuli za USOMAJI. Walisoma na kutambiana hadithi mikekani, wakazijadili na kufanya vitendo kadhaa vya kimichezo vinavyofikirisha na kujenga ari ya kujua zaidi… tofauti za tabaka na lugha hazikufua dafu…

Share the Post:

Related Posts

Vavagaa

Therefore, Vavagaa packages feminist knowledge and information with freshness and diversity of content and mobilizes large audiences, audience feedback, and

Read More