Birdie anamwalika Bunny kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa. Sherehe hii ina peremende nyingi na keki. Je, Birdie anajifunza nini kutoka kwa Bunny?
Language | Swahili |
---|---|
Publisher | WordAlive Publishers |
ISBN | 9789966062055 |
Author | Rebecca Nandwa |
published | 2016 |