Njelu Kasaka: Maisha, Siasa na Hoja ya Tanganyika -G55

Sh25,000

In stock

In stock

Niliingia Bungeni Novemba, 1990 baada ya kushinda katika uchaguzi wa Ubunge jimbo la Chunya uliofanyika Oktoba 28 mwaka huo. Jimbo la Chunya lilianzishwa mwaka 1965 na mbunge wa Kwanza alikuwa Raphael Anthony Kinyonga. Kwa kumbukumbu zilizopo mimi nilikuwa mbunge wa nne kushika nafasi hii katika jimbo hili.