Mlima kilimanjaro, Fahari yetu kinaeleza mambo muhimu kuhusu Mlima Kilimanjaro.Kwa kutumia taarifa za wanasayansi watafiti walizozichunguza barafuto za milima mikubwa duniani kwa muda mrefu, kitabu kinatoa maelezo ya kina kuhusu nikwanini barafuto za Mlima Kilimanjaro zinapotea kwa kasi.Kinaeleza pia faida za Mlima Kilimajaro kwajamii inayoizunguka na taifa kwa ujumla.
Publisher | E&D Vision Publishing |
---|---|
Format | Paperback |
Language | Swahili |
Author | Barthlomew Meena |
ISBN | 9789987735419 |