Je, Mabadiliko ya serikali ya Zanzibar yaliyotokea mwaka 1964 yalikuwa ni Minduzi au mavamizi? Mabishano na Mapambano baina ya wanamapinduzi na wapinduliwa, ndani na nje ya Zanzibar, yamewafanya waendelee kwa muda mrefu sana kupigana vita vya jana na vya jana na vya juzi badala ya kuijenga upya Zanzibar ya leo.
Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru: Zanzibar na Mapinduzi ya Afrabia
Sh50,000
Category: Political Science
Language | Swahili |
---|
Related products
International Relations
Sh5,000