Kipindi cha watoto na Vitabu
Author Archives: invioleta
Leo kwenye kipindi cha Watoto na Vitabu, watoto waliweza kueleza wiki zao (Jumatatu- Ijumaa) zilikuwaje kwa kifupi kwa kunong’onezana na jirani yake, walisoma kwa pamoja kitabu “Paulina’s visit” pia walikijadili kwa pamoja na baadae waliandika hadithi zao mpya kutokana na maudhui ya kitabu walichokisoma…
Leo kwenye kipindi cha Watoto na Vitabu, Watoto waliweza kufanya kazi mbalimbali za usomaji kama kusoma vitabu kwa ukimya, kueleza kwa ufupi kuhusu hadithi walizosoma kwenye vitabu, kusoma vitabu kwenye makundi pia waliendelea kuboresha hadithi zao walizozitunga hapo awali kwaajili ya kuchapishwa kwenye kijarida chao cha Muhula huu. Today on Watoto na Vitabu session, Children […]
The book is now available at Soma bookshop after a long period off stock. Delivery is available. Karibuni Sana.
In partnership with The Creative Xchange from Botswana and Soma Book Cafe , Soma Book Cafe hosted Digital Storytelling Workshop facilitated by Letlhogonolo Godsave Christian Moremi from The Creative Xchange. Kwa ushirikiano wa The Creative Xchange kutoka Botswana na Mkahawa wa Vitabu Soma, Mkahawa wa Vitabu-Soma iliendesha mafunzo yaitwayo Digital Storytelling Workshop yaliyofanyika Mkahawa wa […]