Hadithi Hadithi @ Soma na Cucarachita

Cucarachita na hadithi nyingine, maigizo, mashairi na mada kutoka kwa wawakilishi wa ‘klabu za jinsia za shule za: Yusuf Makamba; Loyola High School & Sinza Tower Secondary School ziliongoza mazungumzo juu ya Maadhimisho ya Siku ya Wapendanao kwa Mtazamo wa Jinsia.

Tangazo la Kazi

Taasisi isiyoya kiserikali Inayouza vitabu na kuhimiza usomaji inatafuta Mhudumu wa Ofisi. Taasisi hii inafanya shughuli zake nchini Tanzania na ofisi zake ziko  jijini Dar es salaam.   Shughuli za Mhudumu wa Ofisi ni kama ifuatavyo: Kufanya usafi wa ofisi, duka la vitabu na mazingira ya ndani na nje ya ofisi. Kusaidia katika shughuli za […]

Soma Book Café Now Open

Friends of the book and readers, Greetings from Soma and Happy New Year!! We hope you had a holiday and like us you are looking forward to an eventful year. Soma staff is as always ready to be at service to you. We are happy to inform you that Soma Book Café will change its […]

Mzunguko wa kwanza wa shindano la fasihi wafikia kilele…

Shindano la uandhishi wa hadithi fupi kwa shule za sekondari lililoendeshwa na Shirika la Usomaji na Maendeleo/E&D Readership and Development Agency Soma lilikamilika tarehe 7/12/2012 kwa sherehe iliyofanyika kwenye viunga vya Mkahawa wa Vitabu Soma.

Soma na Wanafunzi wa Dar es Salaam International Academy Mitaani

Kwa nara nyingine, Soma ikishirikiana na Dar es Salaam International Academy imewakutanisha wanafunzi wa shule hiyo na wenzao wanasoma kwenye shule za umma kitongojini “Michungwani” Mtaa wa Darajani, Kata ya Mikocheni, katika shughuli za USOMAJI. Walisoma na kutambiana hadithi mikekani, wakazijadili na kufanya vitendo kadhaa vya kimichezo vinavyofikirisha na kujenga ari ya kujua zaidi… tofauti […]