Watoto na Vitabu Jumamosi 10/08/2019 hapa Soma Mkahawani walikitafsiri kitabu kinachoitwa ”Fati and The Old Man” kwa kiswahili na kuandika hadithi kwa ufupi kutoka kwenye kitabu hicho. This Saturday on Watoto na Vitabu program @ Soma Book Café translated the book ‘Fati and The Old Man’ into Swahili and wrote a short story from the […]
Category Archives: Platforms
Watoto na Vitabu muhula wa tatu umeanza leo tarehe 03 Augusti 2019,Watoto walisoma kitabu kinachoitwa Biko’s New School waliweza kuandika hadithi fupi kutokana na kitabu hicho walichosoma.
Watoto na Vitabu quarter 2 final event happened during the Book Bazaar on 27th July 2019. The event featured with the following activities: Book launch of children’s own chapbook titled, Bring back Peace and other stories; an anthology of stories they wrote during the quarter. Storytelling session facilitated by Gloria Ngowi. Certificate and award giving […]
Leo kwenye Kipindi cha Watoto na Vitabu Today on Watoto na Vitabu session
It was an honor for Soma Book Café to meet with Dr. Alain Martial Kamal accompanied with his friend Hobokela Magale. Working on partnership with us (Soma Book Café) on Watoto na Vitabu project.
Kipindi cha watoto na Vitabu
Leo kwenye kipindi cha Watoto na Vitabu, watoto waliweza kueleza wiki zao (Jumatatu- Ijumaa) zilikuwaje kwa kifupi kwa kunong’onezana na jirani yake, walisoma kwa pamoja kitabu “Paulina’s visit” pia walikijadili kwa pamoja na baadae waliandika hadithi zao mpya kutokana na maudhui ya kitabu walichokisoma…
Leo kwenye kipindi cha Watoto na Vitabu, Watoto waliweza kufanya kazi mbalimbali za usomaji kama kusoma vitabu kwa ukimya, kueleza kwa ufupi kuhusu hadithi walizosoma kwenye vitabu, kusoma vitabu kwenye makundi pia waliendelea kuboresha hadithi zao walizozitunga hapo awali kwaajili ya kuchapishwa kwenye kijarida chao cha Muhula huu. Today on Watoto na Vitabu session, Children […]
The book is now available at Soma bookshop after a long period off stock. Delivery is available. Karibuni Sana.
In partnership with The Creative Xchange from Botswana and Soma Book Cafe , Soma Book Cafe hosted Digital Storytelling Workshop facilitated by Letlhogonolo Godsave Christian Moremi from The Creative Xchange. Kwa ushirikiano wa The Creative Xchange kutoka Botswana na Mkahawa wa Vitabu Soma, Mkahawa wa Vitabu-Soma iliendesha mafunzo yaitwayo Digital Storytelling Workshop yaliyofanyika Mkahawa wa […]