Toward the end of Quarter event of Watoto na Vitabu on October 26, 2019, the children performed self editing on their own written stories. So now their stories has now improved to a good standard, they have a good flow throughout. The stories shows the children creativity..
Category Archives: Platforms
“A combination of sugar, spice everything nice, They are God’s creation the mothers of Tomorrow” by Princessia Mrema From her poem titled “Girls” from the book Sparks in the Dark
Kuna namna mbalimbali ya kutengeza vichocheo vinavyowawezesha watoto kuandika hadithi zao mwenyewe. Watoto waliweza kutumia maswali mbalimbali katika kurekebisha na kuboresha hadithi zao walizozichagua.
Watoto na Vitabu walipata nafasi ya kusikiliza hadithi waliosimuliwa na Latifa Miraji iliyohusu simba, swala na mbuni. Pia kupitia hadithi hiyo watoto waliweza kuandika ujumbe mfupi, ushauri , barua kwa wahusika waliowapenda kutoka kwenye hadithi From the lion and ostrich story “Please lion and antelope will you be friends at the sleepover and dear would […]
Watoto na Vitabu Saturday Session Watoto walisoma kitabu cha Heko na Haki, waliandika pia hadithi kutoka kwenye kitabu hicho kwa lugha ya kingereza. Soma Mkahawani tunaendelea kulea waandishi chipukizi.
Tone la Damu na Hadithi Nyingine ni mkusanyiko wa hadithi kumi (10) bora za mzunguko wa tano (5) 2018 wa Andika na Soma, shindano la hadithi fupi kwa wanafunzi wa shule za sekondari Tanzania. Shindano hili lilibuniwa na kuendeshwa na Taasisi ya Usomaji na Maendeleo –Soma ili kuibua na kuchipuza vipaji vya uandishi wa kubuni […]
Watoto na Vitabu Saturday session, children created their own stories through observing pictures pinned on the wall .
STEM Power Executive Director, Ms Kiddist Gebreamlak visits Soma with David Robinson, Books for Africa Ambassador to explore shared knowledge, interest and possible interventions in STEM and virtual learning for in and out of school children and youths. Watch this space for further developments
Watoto na Vitabu @Soma Mkahawani walisoma hadithi kutoka kwenye vitabu kwa makundi na kueleza kwa ufupi kuhusu hadithi hizo Watoto na Vitabu @Soma Book Cafe they read the stories from the books into groups and explained briefly about that stories.
A happy story editing session today at Soma book Cafe. Ready for quarter Chapbook. Watoto na Vitabu Saturday end of the Quarter event will be on 27.07.2019