Category Archives: Latest
More from the front page.
Kinyang’anyiro cha kumpata mshindi wa shindano la kuandika hadithi fupi kwa wanafunzi wa shule za sekondari nchini – Andika na Soma, linaloendeshwa na taasisi ya usomaji na maendeleo – Soma chini ya udhamini wa ubalozi wa Denmark kimefanyika mwishoni mwa wiki tarehe 14/10/2016. Katika tukio hilo mwanafunzi Eliana Ludovick Swai wa shule ya sekondari ya […]
Zimesalia siku mbili kuelekea kwenye kilele cha mzunguko wa tatu wa shindano la kumpata kinara wa hadithi fupi kwa wanafunzi wa shule za sekondari Tanzania maarufu kama Andika na Soma linaloratibiwa na kuendeshwa na taasisi ya usomaji na maendeleo (Soma). Mpaka sasa washindi kumi bora wamepatikana na wanaendelea na warsha kwaajili ya kuwajengea uwezo ili waweze […]
Soma Book Café has, of recent, received visitors from the Danish Embassy. The Danish Embassy is the current donor for Andika na Soma – Annual Short Story Competition for Secondary School Students after taking over from the defunct CKU. The Visit was intended to allow the Embassy space to familiarise with the project and get updates […]
Nani kuibuka kinara wa shindano la hadithi fupi kwa wanafunzi wa shule za sekondari – Andika na Soma?
Humbled and composed, so, Mr. Tololwa Mollel presents himself. Not that outspoken, at least not for the get go, but let him share/ tell a story… MY! You’d definitely not cease to be Amazed (with a capital A). The articulation of his voice is just near perfect. Speaking in a rather composed manner he’d take […]
Katika azma ya kujenga jamii imara hatuna budi kushiriki na kushirikiana na watoto wetu katika shughuli zinazochangia maendeleo yao na ya jamii kwa ujumla. Jumamosi ya 16/07/2016, Soma ikishirikiana na wanafunzi wa zamani “alumni” wa Chuo Kikuu cha Cape Town (UCT) ilifanikiwa kuandaa hafla ya kifamilia. Hafla hii iliwakutanisha watoto, wazazi, ndugu, jamaa na marafiki […]