Usikose kufuatilia ndani ya Vavagaa(115) Ufeministi ni nini? – YouTube
Vavagaa mtaani.. tuambie lini tuje mtaani kwako!
Je unaujua ukoo wa bibi yako hadi vizazi sita? wa babu je?

Mariam.

Kutana na mariam ana miaka 12, tayari ni fundi wa magari. Ndoto yake ni kuingia kwenye mashindano ya kuendesha magari. Je ni vikwazo gani anakutana navyo? fuatilia kujua.. link ya youtube https://www.youtube.com/watch?v=56LfqWGdO-g
Uani Kunani?

Uani Is a backyard , often with an enclosure traditionally designated as women’s space of exclusion and safety from men’s spying eyes , It is often associated with homes. There are many variants of exclusively women’s spaces equivalent to uani in many homes settling in Tanzania and the rest of Africa, some not enlcosed.soma’s uani […]
From the backyard: Proposition

ua n (nyua), U-N-, mzizi mauaNyuma ya Nyumba, Uzio Context: Relating to Swahili Homes. Traditionally a backyard, often with an enclosure, and designated as women’s space (of ‘seclusion’ and ‘safety’ from men’s straying eyes who occupy the front patio and open public spaces). Notes on the proposition. To frame this exhibition conceptually, I start these […]
Kutoka Uani: Pendekezo

ua n (nyua), U-N-, mzizi mauaNyuma ya Nyumba, Uzio Muktadha: Inahusu nyumbani Uswahilini. Kimila, uani kawaida kuna uzio, na pametengwa kama sehemu maalum ya wanawake (ya ‘faragha’ na ‘salama’ mbali na ‘macho (ku mchuzi)’ ya wanaume ambao wao hukaa barazani na maeneo ya wazi mitaani. Maelezo kuhusu mapendekezo: Ili kuunda dhana kuhusu maonyesho haya, ninaanza […]
Kutoka Uani/ From the Backyard Matamko ya Wasanii

Asteria Malinzi Baridi la Ufukweni, 2021Picha, video na sauti.(Video Poem was produced in collaboration with Ngollo Mlengeya) Umekwishaonywa. Mchecheto usiomithilika unaikodolea milele zote zinavyotiririka mithili ya vijito. Umekwishaonywa; kwa wepesi uliojaa hadaa mawimbi yamesheheni historia, yanazisomba ndani ya wimbi liendalo masafa ya mbali ya upotevu na kuzisambaratisha ndani ya sauti ya sahau. Umekwishaonywa; mawanda yasiyo […]
‘kalamu ndogo’ approach at the Alliance Française Arusha Book and Writing Festival
Demere Kitunga, Readership for Learning and Development—Soma ‘kalamu ndogo’ creative writing workshop in session BackgroundThe Soma Book Café was invited by the Alliance Française to participate in a Book and Writing Festival from 21st and 24th November 2020, to launch its library in Arusha. We shared the Soma story and experience in promoting reading and […]
Story with children at Soma
Soma believes strongly in the creative ability of children. It runs a Saturday morning programme called Watoto na Vitabu (Kiswahili for children and/with books). In 2019 with assistance from Neil Butcher & Associates, Soma began a pilot project—the Kalamu Ndogo (little scribes) book series to undertake a research and writing process with children on a […]