Images on Soma at 10 For more link to Soma @ 10 Page
Category Archives: Events
Taasisi ya usomaji na maendeleo – Soma inapenda kukutaarifu kwamba, kesho tarehe 24/03/2017 siku ya Ijumaa kuanzia saa kumi kamili jioni, kutakuwa na majadiliano ya kitabu cha Kolonia Santita cha Enock Maregesi. Kolonia santita ni hadithi ya kusisimua ya kijasusi na dawa za kulevya. Inazungumzia vita kali kati ya Tume ya dunia ya umoja wa […]
Kinyang’anyiro cha kumpata mshindi wa shindano la kuandika hadithi fupi kwa wanafunzi wa shule za sekondari nchini – Andika na Soma, linaloendeshwa na taasisi ya usomaji na maendeleo – Soma chini ya udhamini wa ubalozi wa Denmark kimefanyika mwishoni mwa wiki tarehe 14/10/2016. Katika tukio hilo mwanafunzi Eliana Ludovick Swai wa shule ya sekondari ya […]
Soma invites you this Saturday 20/08/2016 for a LIVE PERFORMANCE from VITALI MAEMBE and the Band – themed LAST DROP. Vitali Maembe is a renowned Tanzania artist who uses his ART to champion for change, activism and prevalence of justice through his music. In simple terms, Vitali is an ARTIVIST. He would be gracing the stage […]
Katika azma ya kujenga jamii imara hatuna budi kushiriki na kushirikiana na watoto wetu katika shughuli zinazochangia maendeleo yao na ya jamii kwa ujumla. Jumamosi ya 16/07/2016, Soma ikishirikiana na wanafunzi wa zamani “alumni” wa Chuo Kikuu cha Cape Town (UCT) ilifanikiwa kuandaa hafla ya kifamilia. Hafla hii iliwakutanisha watoto, wazazi, ndugu, jamaa na marafiki […]
Soma in collaboration with the UCT Alumni, brings you a Storytelling and Children focused Family event. The event will take place on Saturday 16th July, 2016 from 11:00 Am to 17:30 PM at Soma Book Café, located on Plot 53 Mlingotini Close Regent Street Mikocheni A, Dar Es Salaam. With the aim to create a […]
As part of the global commemoration of the Centenary of Ireland’s 1916 Rising, on 17/06/2016, Soma is collaborating with the Embassy of Ireland to celebrate the creative agency of women in the liberation struggles in Ireland and Tanzania. This is an acknowledgement and a remembrance of women’s rightful place in our collective histories and a […]
Usomaji kwa watoto ni shughuli mojawapo katika mikakati ya taasisi yetu Kuelekea kuwa na maktaba ya jamii. Hivyo basi mwaka jana tuliadhimia tuanzie nyumbani ambapo tulikuwa na kijiwe cha usomaji eneo la Mikocheni A. Mtaa wa Michungwani , tulikuwa tunakusanyika pamoja na watoto walioko mashuleni na majumbani kila Jumatano na Jumamosi kwa ajili ya kujisomea […]