Ni katika mwaka wa 1895, Kilihona alipokuwa msichana wa miaka kumi na tatu, tayari “amekwishagunduliwa” na wazazi wenye wavulana kama mchumba wa kufikiria kuposea watoto wao na uzuri wake tayari umetungiwa nyimbo na wacheza enanga vijana wa sehemu za kwao, ndipo hao Wazungu, wa kabila la Wajerumani, walipoingia kwenye Ufalme wa Ukerewe kwa namna isiyosahaulika.
ISBN | 9789987735112 |
---|---|
Author | Gabriel Ruhumbika |
Format | Paperback |
Language | Swahili |
Published Date | 2014 |
Publisher | E&D Vision Publishing Limited |
Pages | 396 |