Ufunguzi wa Kestoria kavazi..
Kavazi la kifeminia lenye hadithi na simulizi mbalimbali
Tamasha la watoto la vitabu pamoja na uzinduzi wa vitabu vya watoto.

Soma ikishirikiana na ubalozi wa Sweden.
Gender role is neither natural nor immutable but it is planted in society through our traditional beliefs and costumes that women should do such things that are not done by men.

Usikose kufuatilia ndani ya Vavagaa(115) Ufeministi ni nini? – YouTube
Vavagaa mtaani.. tuambie lini tuje mtaani kwako!
Tukumbuke dhana ya ufeminia ni UTATA!
Usikose kufuatilia youtube @Vavagaa