Kutoka Uani: Pendekezo

ua n (nyua), U-N-, mzizi mauaNyuma ya Nyumba, Uzio Muktadha: Inahusu nyumbani Uswahilini. Kimila, uani kawaida kuna uzio, na pametengwa kama sehemu maalum ya wanawake (ya ‘faragha’ na ‘salama’ mbali na ‘macho (ku mchuzi)’ ya wanaume ambao wao hukaa barazani na maeneo ya wazi mitaani. Maelezo kuhusu mapendekezo: Ili kuunda dhana kuhusu maonyesho haya, ninaanza […]
Kutoka Uani/ From the Backyard Matamko ya Wasanii

Asteria Malinzi Baridi la Ufukweni, 2021Picha, video na sauti.(Video Poem was produced in collaboration with Ngollo Mlengeya) Umekwishaonywa. Mchecheto usiomithilika unaikodolea milele zote zinavyotiririka mithili ya vijito. Umekwishaonywa; kwa wepesi uliojaa hadaa mawimbi yamesheheni historia, yanazisomba ndani ya wimbi liendalo masafa ya mbali ya upotevu na kuzisambaratisha ndani ya sauti ya sahau. Umekwishaonywa; mawanda yasiyo […]