Wanawake: Historia Yetu Fahari Yetu

Kikao cha mandalizi ya kuandaa mkutano wa kuchachua Mtandao wa Wanawake Historia Yetu Fahari Yetu na Jukwaa la Ukusanyaji, Simulizi, Uhifadhi na Uchapishaji wa Mchango wa Wanawake katika Historia na Utamaduni kwa njia zenye mvuto kwa wengi. Mahali ni Mkahawa wa Vitabu Soma na wajumbe na washiriki ni Readership for Learning and Development –Soma; TGNP […]
Watoto na Vitabu: Orientation to the reading camp

Children have been provided with clear orientations about “The reading camp” as a road to our mission. They stated their dreams towards the camp, they also contributed ideas toward the reading camp mission.