Watoto na Vitabu Saturday 05 10 2019

Kuna namna mbalimbali ya kutengeza vichocheo vinavyowawezesha watoto kuandika hadithi zao mwenyewe. Watoto waliweza kutumia maswali mbalimbali katika kurekebisha na kuboresha hadithi zao walizozichagua.