Watoto na Vitabu Q3 28 09 2019

Watoto na Vitabu walipata nafasi ya kusikiliza hadithi waliosimuliwa na Latifa Miraji iliyohusu simba, swala na mbuni. Pia kupitia hadithi hiyo watoto waliweza kuandika ujumbe mfupi, ushauri , barua kwa wahusika waliowapenda kutoka kwenye hadithi From the lion and ostrich story “Please lion and antelope will you be friends at the sleepover and dear would […]