Watoto na Vitabu Q3 17 08 2019

Watoto na Vitabu @Soma Mkahawani walisoma hadithi kutoka kwenye vitabu kwa makundi na kueleza kwa ufupi kuhusu hadithi hizo Watoto na Vitabu  @Soma Book Cafe they read the stories from the books into groups and explained briefly about that stories.