Shindano la hadithi fupi mzunguko wa tatu: Kifungilo yaibuka kidedea

Kinyang’anyiro cha kumpata mshindi wa shindano la kuandika hadithi fupi kwa wanafunzi wa shule za sekondari nchini – Andika na Soma, linaloendeshwa na taasisi ya usomaji na maendeleo – Soma chini ya udhamini wa ubalozi wa Denmark kimefanyika mwishoni mwa wiki tarehe 14/10/2016. Katika tukio hilo mwanafunzi Eliana Ludovick Swai wa shule ya sekondari ya […]