Warsha ya Uboreshaji Kazi Shindano la Andika na Soma Inaendelea

Zimesalia siku mbili kuelekea kwenye kilele cha mzunguko wa tatu wa shindano la kumpata kinara wa hadithi fupi kwa wanafunzi wa shule za sekondari Tanzania maarufu kama Andika na Soma linaloratibiwa na kuendeshwa na taasisi ya usomaji na maendeleo (Soma). Mpaka sasa washindi kumi bora wamepatikana na wanaendelea na warsha kwaajili ya kuwajengea uwezo ili waweze […]