Klabu ya Usomaji Vitabu ya “Taswira” Yazidi kupaa.

Klabu ya Usomaji, inayotambulika kama Taswira “Book Club”, yenye maskani yake katika Mkahawa wa Vitabu, Soma, inaendelea kufanya vyema katika shughuli zake za kuhamasisha usomaji miongoni mwa WaTanzania. Soma, taasisi inayohamasisha usomaji nchini Tanzania, katika azma yake ya kuchagiza wanajamii kujijengea utamaduni wa kupenda kusoma na kuyasaka maarifa pamoja na Klabu ya Taswira zinaonekana kufanikiwa kwa […]