Soma literary Competition 2013/2014 on April 2014

ANDIKA NA SOMA-SHINDANO LA UANDISHI WA HADITHI FUPI Shindano la Hadithi Fupi kwa Shule za Sekondari linaratibiwa na Taasisi ya Usomaji na Maendeleo-Soma. Shindano hili hufanyika kila mwaka. Kuanzia mwaka 2014 kilele chake kitaangukia siku ya vitabu duniani ambayo ni tarehe 23 Aprili au karibu na tarehe hiyo. Siku hii huadhimishwa duniani kote kwa matamasha […]