Siku ya Ukombozi wa Afrika/African Liberation Day 25th May 2013

Je, Afrika Huru ina maana gani kwako? Karibu Mkahawani Soma tutafakari pamoja na kubadilishana uzoefu wa harakati zetu mbalimbali za kujikomboa na kulikomboa bara letu kutoka kwenye mifumo yote kandamizi; tuutafakari muktadha wetu; tunoe na kuibua fikra na mbinu mpya za harakati. Uga huu umeratibiwa na ALD tawi la Tanzania. Kwa maelezo zaidi soma aya […]