Soma na Usomaji na watoto wa Michungwani pamoja na wanafunzi wa DIA

Habari zenu marafiki na mashabiki waUsomaji Zoezi ama shughuli zetu za usomaji katika kitongoji cha Michungwa zinaendelea kama kawaida na kila mmoja wenu anakaribishwa kushiriki kwa namna moja ama nyingine, ikiwa ni kimawazo au hata kushiriki moja kwa moja, kuchangia chochote kinachoweza kusaidia vijana hawa wachanga katika kitongoji hiki na viginevyo hapo baadaye kuweza kuujenge […]