Tangazo la Kazi
Taasisi isiyoya kiserikali Inayouza vitabu na kuhimiza usomaji inatafuta Mhudumu wa Ofisi. Taasisi hii inafanya shughuli zake nchini Tanzania na ofisi zake ziko jijini Dar es salaam. Shughuli za Mhudumu wa Ofisi ni kama ifuatavyo: Kufanya usafi wa ofisi, duka la vitabu na mazingira ya ndani na nje ya ofisi. Kusaidia katika shughuli za […]