Mzunguko wa kwanza wa shindano la fasihi wafikia kilele…
Shindano la uandhishi wa hadithi fupi kwa shule za sekondari lililoendeshwa na Shirika la Usomaji na Maendeleo/E&D Readership and Development Agency Soma lilikamilika tarehe 7/12/2012 kwa sherehe iliyofanyika kwenye viunga vya Mkahawa wa Vitabu Soma.