Soma na Wanafunzi wa Dar es Salaam International Academy pamoja Mtaani.

Kwa mara ya kwanza na kwa ushirikiano na Soma, Wanafunzi wa Dar es Salaam International Academy wakiwa pamoja na Baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi ya Mikocheni A katika shughuli za kijamii na usomaji katika makutano (King’oko Junction) karibu na shule hiyo.